Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Mwembe bamia Chamazi(Dar) karibu na Azam sportsstadium,
50m kwa 40m.
Kiko barabarani,
9 milion hamna dalali pi
NiPm kwa biaashara.
Kwa nini unapenda kudandia post za watu, si uanzishe tangazo lako, huu sio ustaarabu
Mwembe bamia Chamazi(Dar) karibu na Azam sportsstadium,
50m kwa 40m.
Kiko barabarani,
9 milion hamna dalali pi
NiPm kwa biaashara.
Wewe ndio hupajui wenzako ndio bei wananunua huko. Nenda kaulizie kama utapata chini ya hapo. Eneo lenyewe naona hujawahi kulifika.Kimere 20/30 mil 9? Huko serious kwa kweli!
Kama umekereka pole mkuu, nisamehe bureee.
Wewe ndio hupajui wenzako ndio bei wananunua huko. Nenda kaulizie kama utapata chini ya hapo. Eneo lenyewe naona hujawahi kulifika.
Wewe unaongelea kule porini. Ukiptia huko baobab ndio utaiona vizuri. Watu wanajenga vitu vya maana.Kimere naachaje kuijua...si ukitoka Bunju unafika Mingoi ila badala ya kweda upande wa kiharaka unaingilia bara bara ya kushoto?
Ile barabara ya kwenda Kibaha kutoka Baobab INA lami siku hizi, au ni gia ya kufagilia kiwanja!Wewe unaongelea kule porini. Ukiptia huko baobab ndio utaiona vizuri. Watu wanajenga vitu vya maana.
Biashara promo,imewekwa lami wapi mkuu? Ila kwa M 9 ni parefu si kitotoIle barabara ya kwenda Kibaha kutoka Baobab INA lami siku hizi, au ni gia ya kufagilia kiwanja!
Huo muembe unazaa bamia au??
Nahitaji Mkuu hiki kiwanja.Mwembe bamia Chamazi(Dar) karibu na Azam sportsstadium,
50m kwa 40m.
Kiko barabarani,
9 milion hamna dalali pi
NiPm kwa biaashara.