Plot4Sale Nauza kiwanja Mapinga

Plot4Sale Nauza kiwanja Mapinga

Nashengena

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
2,913
Reaction score
5,318
Nauza kiwanja kipo kijiji cha Mapinga - Kimere karibu na Bunju B, kina ukubwa wa 20M kwa 30M. Bei ni sh. Milioni 9. Kuna maji, umeme upo katika hatua za mwisho nguzo ndio zimesambazwa na kuwekwa. Kiwanja kipo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami iendayo Kibaha. Kiwanja ni cha kwangu hakuna dalali. Kwa mawasiliano piga simu namba 0714 078881
 
20m X 20m Chanika Mjini(Videte)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

0715-240140
 
Mwembe bamia Chamazi(Dar) karibu na Azam sportsstadium,
50m kwa 40m.
Kiko barabarani,
9 milion hamna dalali pi
NiPm kwa biaashara.
 
Kimere naachaje kuijua...si ukitoka Bunju unafika Mingoi ila badala ya kweda upande wa kiharaka unaingilia bara bara ya kushoto?
Wewe unaongelea kule porini. Ukiptia huko baobab ndio utaiona vizuri. Watu wanajenga vitu vya maana.
 
Mwembe bamia Chamazi(Dar) karibu na Azam sportsstadium,
50m kwa 40m.
Kiko barabarani,
9 milion hamna dalali pi
NiPm kwa biaashara.
Nahitaji Mkuu hiki kiwanja.
Bado kipo? Nina shida nacho.
 
Back
Top Bottom