fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 216
- 91
- Thread starter
- #21
Watu wanauziwa viwanja kwa miguu 20x20 na maisha ya nasonga, ulicho sahau nikuwa uwezo unatofautiana wakati wewe unataka ujenge nyumba bora kuna wale wanao taka bora nyumba, umeng'ang'ana msq kwani ft 50x50 nyumba vyumba 3 na sebule hutoi? Hesabu ni ileile tu muhimu kujua eneo lipoje, asa wewe unae owazia dar yote kuwa sijui itakuwaje kaombe kazi mipango miji urejebishe ujenge dar unayo ipenda. Tena usisahau na kurekebosha na kule kijijini kwa bimkubwa napo sio mbaya pakiwa pazuriAzia serikalini kuleta mabadiriko mkuu mimi siwezi badili chochote hapo, alafu kama wewe haukubaalini na hayo we ndenda kanunue vilivyo kidhi vigezo, usitumie nguvu kubwa kuskitika jf hapa fanya jambo