Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwanja kimefanyiwa survey mnunuzi utaenda kuandikisha hati kwa jina lako. Whatsapp 0656388678
Nimetaja ni 20x41Taja size ya kiwanja, weka na picha
Baadhi ya maswali yako tayari yapo kwenye maelezo yangu lakini nitajibu pia yaliyosalia. AsanteMKuu Taarifa yako haijitoshelezi!
Kiwanja kipo Mkoa wa Mwanza
Mkoa wa Mwanza wilaya ya..........
Wilaya ya............,Kata ya ............
Mtaa wa ...............
Huduma za kijamii kama;
1.Huduma ya Umeme imefika kiwanja kilipo au bado?
2.Huduma ya maji inapatikana?
3.Vipi kuhusu miundombinu ya Barabara?
4.Vipi mawasiliano ya simu?(Kuna maeneo mengine upatikanaji wa mtandao espeshali internet ni kipengele) Hapo Je Hali ikoje?
5.Eneo ni Kwa ajili ya makazi ya watu?,Isije unakuja kununua eneo ambalo liko kwenye maeneo ya Viwanda,makanisa/misikiti,Starehe (Bars and Lounge) halafu mwisho wa siku ikawa ni kelele mwanzo mwisho!
6.Umbali wa kutoka hapo kilipo kiwanja hadi ilipo Barabara kuu ni kiasi gani?
7.Hapo kilipo kiwanja hadi kufika mjini (Wilayani au Jijini) ni umbali kiasi gani?
8.Eneo lipo Bondeni,Tambarare au mlimani?
9.Eneo ni lako au wewe ni dalali?
10.Je eneo limepimwa tayari na halmashauri ya mji,wilaya au Jiji?
Hakuna...Baadhi ya maswali yako tayari yapo kwenye maelezo yangu lakini nitajibu pia yaliyosalia. Asante
Shibula hupajui? Ni wilaya ya IlemelaHakuna...
Wilaya gan
Kata gani etc
20x41 vipimo gani? Mita, Futi?Nimetaja ni 20x41
Unazingua bana sasa kila mtu anapajua shibula kweli??Shibula hupajui? Ni wilaya ya Ilemela
UNafikiri kila mtu yuko ilemela hapa kaka??Shibula hupajui? Ni wilaya ya Ilemela
Mleta mada kaingia mitini,hajataka kujibu maswali yangu hapo juu!Shibula hupajui? Ni wilaya ya Ilemela
Shibula sehemu ipi maana kuna baadhi ya mitaa kuna mgogoro na uwanja wa ndegeKiwanja kimefanyiwa survey mnunuzi utaenda kuandikisha hati kwa jina lako. Whatsapp 0656388678
Ndio wasukuma hao wazoee tuUnazingua bana sasa kila mtu anapajua shibula kweli??
We unapajua kisopwa?
Kisopwa ni KisaraweUnazingua bana sasa kila mtu anapajua shibula kweli??
We unapajua kisopwa?
Mgogoro huo upo Bulyan'hulu mkuu,chini ya barabara ya kwenda Igombe. Kumbe mpaka leo!!!! Hiho issue ya miaka ya 2012. Upande wa juu,shida ilikuwa mtu akija na hela ndefu,kiwanja kinauzwa tena,na dokument kwa mwenyekiti zinaandikwa. Mi nilijinunulia mlimani kabisa, nikaweka na fensi,badae nikauzaShibula sehemu ipi maana kuna baadhi ya mitaa kuna mgogoro na uwanja wa ndege
Huyo atakua dalali tu.Mleta mada kaingia mitini,hajataka kujibu maswali yangu hapo juu!
HAPA SIYO MAHALI PA KUKURUPUKA KULETA HOJA UKASHINDWA KUITOLEA MAJIBU,HOJA AMBAZO HAZIHITAJI MAJIBU PELEKENI HUKO USO WA KITABU
Nmemuuliza huyo wa shibula ye anapajua?Kisopwa ni Kisarawe