Nauza kiwanja Mwanza, Shibula, 20x41, miloni 2 laki 3

Mleta mada kaingia mitini,hajataka kujibu maswali yangu hapo juu!

HAPA SIYO MAHALI PA KUKURUPUKA KULETA HOJA UKASHINDWA KUITOLEA MAJIBU,HOJA AMBAZO HAZIHITAJI MAJIBU PELEKENI HUKO USO WA KITABU
Umeokoa jahazi...
 
Hakuna
Mleta mada kaingia mitini,hajataka kujibu maswali yangu hapo juu!

HAPA SIYO MAHALI PA KUKURUPUKA KULETA HOJA UKASHINDWA KUITOLEA MAJIBU,HOJA AMBAZO HAZIHITAJI MAJIBU PELEKENI HUKO USO WA KITABU
Hakuna mwenye kiwanja hapo🤣
 
Mita 500 kutoka barabara kuu. Kilomita 4 kutoka ofisi za manispaa
 
Mita 500 kutoka barabara kuu. Kilomita 4 kutoka ofisi za manispaa
Mkuu unatumia simu janja (smart phone) lakini bado hujajua kazi ya Smart Phone!

By the way

Tafuta kazi nyingine ya kukuingizia kipato,sidhani kama udalali unakufaa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…