T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mkuu mjini ni Dar, uko ulipo ndio vijijini. Kumbe mnauziwa viwanja bei sawa na bure namna hii. Maisha safi kabisaAcha "KAMDOMO" wewe, mjini umekuja lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mjini ni Dar, uko ulipo ndio vijijini. Kumbe mnauziwa viwanja bei sawa na bure namna hii. Maisha safi kabisaAcha "KAMDOMO" wewe, mjini umekuja lini?
Unaweza nikatia hapo sqm 600?Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine.
Sqm ni 1280
Sehemu ni Nyamhongolo
Bei 25M bei mazungumzo
Simu: 0621 622 070.
View attachment 3244537
unaweza nikatia hapo sqm 600?Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine.
Sqm ni 1280
Sehemu ni Nyamhongolo
Bei 25M bei mazungumzo
Simu: 0621 622 070.
View attachment 3244537
Achana na MADALALI wewe, ardhi kwa Tanzania haijawahi kuwa ghali kwa watoto wa mjini.Mkuu mjini ni Dar, uko ulipo ndio vijijini. Kumbe mnauziwa viwanja bei sawa na bure namna hii. Maisha safi kabisa
MWANZAIko mji gani
Hahahhaa mshua kweli?? HahahaUnaweza nikatia hapo sqm 600?
unaweza nikatia hapo sqm 600?
Dalali? Mali yangu mwenyewe acha noma hizoAchana na MADALALI wewe, ardhi kwa Tanzania haijawahi kuwa ghali kwa watoto wa mjini.
Muache ajishaue tu hajui kuna maeneo ni HIGH URBAN AREA huyoUko viwanja vinauzwaje?
Huku Dar ndanindani uko manispaa ikitangaza kupima eneo kuuza inaanza na 25,000 Tsh kwa sqm kwa kiwanja cha shamba. Kiwanja cha makazi 30,000 Ths na cha biashara kama shule na maduka 40,000 Tsh.
Manispaa ya jiji gani inauza sqm kwa 6,000. Au achana na hiyo bei, leta hata tangazo la 10,000 Tsh per sqm.
Hujawahi miliki kiwanja mjini sio? Nakupa hii...kama unaijua mwanza vyema basi nenda wilaya ya ilemela kaulize viwanja maeneo hayaUko viwanja vinauzwaje?
Huku Dar ndanindani uko manispaa ikitangaza kupima eneo kuuza inaanza na 25,000 Tsh kwa sqm kwa kiwanja cha shamba. Kiwanja cha makazi 30,000 Ths na cha biashara kama shule na maduka 40,000 Tsh.
Manispaa ya jiji gani inauza sqm kwa 6,000. Au achana na hiyo bei, leta hata tangazo la 10,000 Tsh per sqm.
Sold yesterday chiefAll the best