Plot4Sale Nauza kiwanja Nyamhongolo

Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine.

Sqm ni 1280
Sehemu ni Nyamhongolo
Bei 25M bei mazungumzo
Simu: 0621 622 070.

View attachment 3244537
Unaweza nikatia hapo sqm 600?
Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine.

Sqm ni 1280
Sehemu ni Nyamhongolo
Bei 25M bei mazungumzo
Simu: 0621 622 070.

View attachment 3244537
unaweza nikatia hapo sqm 600?
 
Mkuu mjini ni Dar, uko ulipo ndio vijijini. Kumbe mnauziwa viwanja bei sawa na bure namna hii. Maisha safi kabisa
Achana na MADALALI wewe, ardhi kwa Tanzania haijawahi kuwa ghali kwa watoto wa mjini.
 
Muache ajishaue tu hajui kuna maeneo ni HIGH URBAN AREA huyo
 
Hujawahi miliki kiwanja mjini sio? Nakupa hii...kama unaijua mwanza vyema basi nenda wilaya ya ilemela kaulize viwanja maeneo haya
1. Buswelu
2.Nyamhongolo
3. Ilalila
4. Ilemela
5. Airport
4. Igoma
5. Kisesa N.K

Alafu njoo ubishe na hizi Sqm kwa 19K..... I hope utajifunza ka kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…