Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
hebu niambie ni wapi dsm hii utapata kiwanja cha ukubwa huu na chenye title deed kwa bei hii?Bei kubwa mno na mno hiyo
Bei kubwa mno na mno hiyo
hebu niambie ni wapi dsm hii utapata kiwanja cha ukubwa huu na chenye title deed kwa bei hii?
bei ni ya kawaida sana kwa kiwanja kama hiki chenye nyaraka halili,hiki sio kiwanja cha kwenda serikali za mtaa au kwa mjumbe.
unaenda mwenyewe wizarani kufanya searching wanakuthibitishia hapo hapo.
Kwanin unasema hivyo ?tena kama mjanja uza sasa,,mwakani hupati hata nusu yake,,,time will tell mark this thred
mashirika mengi miradi yao hewa majengo yasikuzibue
economic constrain....Kwanin unasema hivyo ?
Okeconomic constrain....
Kwanin unasema hivyo ?
mkuu mbona nyumba za mradi pspf karibia zimenunuliwa zote! nadhani ikifika mwakani bei itapanda pia mark this threadtena kama mjanja uza sasa,,mwakani hupati hata nusu yake,,,time will tell mark this thred
mashirika mengi miradi yao hewa majengo yasikuzibue
Magufulification inafanya kazi... jipe muda tu, watu bado wana vichenchi vya ufisadi! mpaka august mwaka huu tutaona mengi, kama una hela itunze hizi bei za ardhi zitarudi kwenye uhalisia tuKwanin unasema hivyo ?
mkuu hayo maviazi nilishayatoa ,walipanda hawa wazaramo waliokuwa wananiangalizia viwanja vyangu.Unauza shamba au kiwanja? Ukipunguza hadi 20M nitafute mkuu - pesa imekuwa ngumu kapata sasa
I kweli kabisa.tena kama mjanja uza sasa,,mwakani hupati hata nusu yake,,,time will tell mark this thred
mashirika mengi miradi yao hewa majengo yasikuzibue
tayari purchasing power imeshuka sana, ashushe tu beitena kama mjanja uza sasa,,mwakani hupati hata nusu yake,,,time will tell mark this thred
mashirika mengi miradi yao hewa majengo yasikuzibue
Unachoongea mkuu ni sahihi kabisa. Hata hawa wanaolipuka na kodi zao za nyumba, muda si mrefu watashusha wenyewe tu. Pesa ikiwa adimu kila mtu atatia akili tu na kuuza vitu kwa bei realistic. Pesa za kifisadi zilipaisha maisha yakawa juu mno. Kwa sasa heshima itarudi, nakubaliana na wewe.Magufulification inafanya kazi... jipe muda tu, watu bado wana vichenchi vya ufisadi! mpaka august mwaka huu tutaona mengi, kama una hela itunze hizi bei za ardhi zitarudi kwenye uhalisia tu
duh nusu bei mdau? hebu jiongeze kidogo...........................Unauza shamba au kiwanja? Ukipunguza hadi 20M nitafute mkuu - pesa imekuwa ngumu kapata sasa
bei ishuke mpaka kiasi gani mkuutayari purchasing power imeshuka sana, ashushe tu bei