Plot4Sale Nauza kiwanja (surveyed and clean title-deed)

Plot4Sale Nauza kiwanja (surveyed and clean title-deed)

Unachoongea mkuu ni sahihi kabisa. Hata hawa wanaolipuka na kodi zao za nyumba, muda si mrefu watashusha wenyewe tu. Pesa ikiwa adimu kila mtu atatia akili tu na kuuza vitu kwa bei realistic. Pesa za kifisadi zilipaisha maisha yakawa juu mno. Kwa sasa heshima itarudi, nakubaliana na wewe.
hata bei niliyoandika nimeangalia purchasing power ya wakati huu
 
Back
Top Bottom