Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Mawasiliano hakuna tunakupataje?Habari wa ndugu
Nauza kiwanja kipo Tabata - Bonyokwa kisiwani karibu kabisa na shule ya Mesodonia, upande mmoja kinapakana na barabara ya Ole Meikoki inayoelekea chuo cha Masanja. Kina ukubwa wa
Mita za mraba 620. Bei ni milioni 20. Kiwanja ni changu na hakina mgogoro wowote.
Karibu sana
Kama umeshawahi kufika segerea mwisho ni kilomita tatu kutoka pale. Na sasa barabara ndio inawekwa lami , kwa hiyoitakuwa ni lami hadi kwenye kiwanja. Eneo limejengwa nyumba za hatari.Sio mwenyeji wa maeneo hayo
Ni umbali gani kutokea Kimanga,au Shule ya Harvard au Shule ya Msingi Tabata
Kama umeshawahi kufika segerea mwisho ni kilomita tatu kutoka pale. Na sasa barabara ndio inawekwa lami , kwa hiyoitakuwa ni lami hadi kwenye kiwanja. Eneo limejengwa nyumba za hatari.
Kwa upande wa tabata huwa napakubali sana kinyerezi sijui kwa nininapajua. Pamepimwa!?