Plot4Sale Nauza kiwanja Tabata Bonyokwa

Plot4Sale Nauza kiwanja Tabata Bonyokwa

Nashengena

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
2,913
Reaction score
5,318
Habari wa ndugu

Nauza kiwanja kipo Tabata - Bonyokwa kisiwani karibu kabisa na shule ya Mesodonia, upande mmoja kinapakana na barabara ya Ole Meikoki inayoelekea chuo cha Masanja. Kina ukubwa wa
Mita za mraba 620. Bei ni milioni 20. Kiwanja ni changu na hakina mgogoro wowote.

Karibu sana
 
Mawasiliano hakuna tunakupataje?
 
Sio mwenyeji wa maeneo hayo
Ni umbali gani kutokea Kimanga,au Shule ya Harvard au Shule ya Msingi Tabata
Kama umeshawahi kufika segerea mwisho ni kilomita tatu kutoka pale. Na sasa barabara ndio inawekwa lami , kwa hiyoitakuwa ni lami hadi kwenye kiwanja. Eneo limejengwa nyumba za hatari.
 
napajua. Pamepimwa!?
 
Back
Top Bottom