Plot4Sale Nauza kiwanja Tegeta kimetazamana na Chuo cha Mzumbe, kituo cha Polisi na Shule y Msingi. Bei milioni 22

Plot4Sale Nauza kiwanja Tegeta kimetazamana na Chuo cha Mzumbe, kituo cha Polisi na Shule y Msingi. Bei milioni 22

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
619
Reaction score
371
Habari wakuu nauza kiwanja kipo tegeta. kimezungukwa na huduma zote za kijamii kama vile kituo cha polisi cha tegeta mita mia kutoka kituo hiko. pia kimetazamana na chuo cha MZUMBE na shule ya msingi ya tegeta. Kwa kutembea kwa miguu ni dakika 5 kutoka main road, kwa gari dakika 3 na gari ya aina yoyote inaingia mpaka kwenye kiwanja chenyewe.


MWENYE KIWANJA NI MIMI MWENYEWE
BEI NI MILLION 22 BILA HATA YA DALALI
KIPO LEVEL HAKINA MWINUKO WOWOTE
UKUBWA NI 21 KWA 19.
KINA DOCUMENT ZA SERIKALI ZA MTAA.
LAKINI PIA HAKIJAPIMWA, TULIPIMA KWA KUTUMIA TAPE MEASURE TUKAPATA UREFU NA UPANA WAKE.

PIA KAMA KUNA MTU ANATAKA KUFANYA UDALALI SAWA.

MAWASILIANO 0679464974 au 0679478758
 
pale opposite na shule ya msingi kuna kiwanja kiliwekewa bango hakiuzwi ni eneo la shule watu wengi wamepigwa pale
Hapana sio pale mkuu. kiwanja kina nyumba ambayo ni ya miaka ya zamani sana na sijawahi kukiweka kwenye mauzo na kimezungukwa na nyumba zingine nyingi. PIA KWA UHAKIKA ZAIDI UNAWEZA UKAULIZIA KWA MAJIRANI AU KWA MWENYEKITI KUHUSU HIKI KIWANJA. Labda kama unazungumzia sehem nyingine lakini sio eneo langu.
 
Mimi mbona niliweka tangazo langu la tuition humu halukuonekana! Nikajua matangazo humu hayaruhusiwi!
 
Hapana sio pale mkuu. kiwanja kina nyumba ambayo ni ya miaka ya zamani sana na sijawahi kukiweka kwenye mauzo na kimezungukwa na nyumba zingine nyingi. PIA KWA UHAKIKA ZAIDI UNAWEZA UKAULIZIA KWA MAJIRANI AU KWA MWENYEKITI KUHUSU HIKI KIWANJA. Labda kama unazungumzia sehem nyingine lakini sio eneo langu.
sawa kama sio ila pale opposite na shule kuna kina kiwanja kinatamanisha balaa kama unaelekea bondeni kuna majumba ya madon hadi feza secondary wengi wamepigwa pale
 
sawa kama sio ila pale opposite na shule kuna kina kiwanja kinatamanisha balaa kama unaelekea bondeni kuna majumba ya madon hadi feza secondary wengi wamepigwa
sahihi mkuu, ila sio upande ule wa unaenda bondeni. ukitoka tu kituo cha polisi kwenye nyumba za walimu unakula kushoto. Sehem ambayo kiwanja changu kipo ni watu wana makazi yao hapajawahi tokea mgogoro wa aina yoyote.
 
Back
Top Bottom