Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
hahahahahapale opposite na shule ya msingi kuna kiwanja kiliwekewa bango hakiuzwi ni eneo la shule watu wengi wamepigwa pale
Hapana sio pale mkuu. kiwanja kina nyumba ambayo ni ya miaka ya zamani sana na sijawahi kukiweka kwenye mauzo na kimezungukwa na nyumba zingine nyingi. PIA KWA UHAKIKA ZAIDI UNAWEZA UKAULIZIA KWA MAJIRANI AU KWA MWENYEKITI KUHUSU HIKI KIWANJA. Labda kama unazungumzia sehem nyingine lakini sio eneo langu.pale opposite na shule ya msingi kuna kiwanja kiliwekewa bango hakiuzwi ni eneo la shule watu wengi wamepigwa pale
yeah nilikutana na wataalamu wa hizo mamboKwahiyo sasahivi umejua bei ya 21x19
Maana uliandika humu hujui thamani ya ukubwa huo
kuna majukwaa ya aina mbali mbali, tangazo la tuition ungeliweka kwenye jukwaa la elimu ingekua vizuri zaidi.Mimi mbona niliweka tangazo langu la tuition humu halukuonekana! Nikajua matangazo humu hayaruhusiwi!
sawa kama sio ila pale opposite na shule kuna kina kiwanja kinatamanisha balaa kama unaelekea bondeni kuna majumba ya madon hadi feza secondary wengi wamepigwa paleHapana sio pale mkuu. kiwanja kina nyumba ambayo ni ya miaka ya zamani sana na sijawahi kukiweka kwenye mauzo na kimezungukwa na nyumba zingine nyingi. PIA KWA UHAKIKA ZAIDI UNAWEZA UKAULIZIA KWA MAJIRANI AU KWA MWENYEKITI KUHUSU HIKI KIWANJA. Labda kama unazungumzia sehem nyingine lakini sio eneo langu.
sahihi mkuu, ila sio upande ule wa unaenda bondeni. ukitoka tu kituo cha polisi kwenye nyumba za walimu unakula kushoto. Sehem ambayo kiwanja changu kipo ni watu wana makazi yao hapajawahi tokea mgogoro wa aina yoyote.sawa kama sio ila pale opposite na shule kuna kina kiwanja kinatamanisha balaa kama unaelekea bondeni kuna majumba ya madon hadi feza secondary wengi wamepigwa
unaweza ukawa sahihi lakini kwa upande wangu sina uhakika maana nimezaliwa hapo nimekulia hapo na sina nuksiKituo cha policcm ni nuksi kikiwa jirani yako.
Nuksi ni pamoja na kuuza kiwanja eneo zuri kama Hilo ukaishi porini mbopo au mabwe pande.unaweza ukawa sahihi lakini kwa upande wangu sina uhakika maana nimezaliwa hapo nimekulia hapo na sina nuksi
unaweza ukawa sahihi kwa mtazamo wako.Nuksi ni pamoja na kuuza kiwanja eneo zuri kama Hilo ukaishi porini mbopo au mabwe pande.
Ok sawa kabisa mkuu 🫲🫲kuna majukwaa ya aina mbali mbali, tangazo la tuition ungeliweka kwenye jukwaa la elimu ingekua vizuri zaidi.
Theory ya Relativity inakataa hapa 🤣🤣🤣Yaani kutembea kwa miguu ni dakika 5 alafukwa gari dakika 3? chief kuwa serious kidogo