Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji yanayotuama. Ukubwa wa Kiwanja ni Sqrms 576. Atakaekuwa anahitaji tuwasiliane kwa namba 0713851751, Bei ni maelewano.
Ndio maana nimeweka mawasiliano hapo, hii ni boashara ya kupatana
Ndio maana nimeweka mawasiliano hapo, hii ni boashara ya kupatana
Kwamba hapa hamuwezi kupatanaNdio maana nimeweka mawasiliano hapo, hii ni boashara ya kupatana
Usiringi kwa kuwa unauza kiwanja, weka bei watu tuangalie kama vipiNdio maana nimeweka mawasiliano hapo, hii ni boashara ya kupatana
Na ndio maana ulikuwa hutaki kuweka bei hadharani...kwa bei hiyo utasubiri sana mkuu. Nakutakia biashara njema.Nimewaelewa Wadau, Bei ni M 10
Nimewaelewa Wadau, Bei ni M 10