Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji yanayotuama. Ukubwa wa Kiwanja ni Sqrms 576. Atakaekuwa anahitaji tuwasiliane kwa namba 0713851751, Bei ni maelewano.