THE WINNER 24
Member
- Feb 14, 2024
- 48
- 59
Ndio, wanaishi watu.Huko Vikonje wanaishi watu?
Ni uwekezaji niliofanya kwa malengo kwa hiyo siyo kazi rahisi ya kukaa na kupiga mluzi. Ni matokeo ya kujinyima kuwekeza kwa malengo fulani.Kwa hiyo hapo umekaa umekunja nne unapiga mluzi unasubiri Tsh 75,420,000/= inakuja au vipi.....
Kila la kheri mkuu.Ni uwekezaji niliofanya kwa malengo kwa hiyo siyo kazi rahisi ya kukaa na kupiga mluzi. Ni matokeo ya kujinyima kuwekeza kwa malengo fulani.
Yaani Dodoma kiwanja 72M???Ni kiwanja namba 696 kina ukubwa wa sqm 12570. Matumizi ni Housing Estate. Kipo Mtaa wa Vikonje Kata ya Mtumba Dodoma Jiji. Bei ni 6,000/ kwa sqm moja. Kinafaa kwa shule, ofisi, apartments, hotel nk. Kimepimwa na hati iko kwenye process.
Mazungumzo yapo.
Umbali kutoka mji wa kiserikali ni km 4. Mawasiliano 0711670661
Ndio hiyo ndogo sana sqmeter hizo zote 12na points kuna kiwanja hapa Dodoma sq700 kimeuzwa 45mwaka juziYaani Dodoma kiwanja 72M???
Ndio, tena hiyo ni hela ndogo inategemea na locatio na ukubwa wa kiwanja.Yaani Dodoma kiwanja 72M???