NAUZA KIWANJA

NAUZA KIWANJA

THE WINNER 24

Member
Joined
Feb 14, 2024
Posts
48
Reaction score
59
Ni kiwanja namba 696 kina ukubwa wa sqm 12570. Matumizi ni Housing Estate. Kipo Mtaa wa Vikonje Kata ya Mtumba Dodoma Jiji. Bei ni 6,000/ kwa sqm moja. Kinafaa kwa shule, ofisi, apartments, hotel nk. Kimepimwa na hati iko kwenye process.
Mazungumzo yapo.
Umbali kutoka mji wa kiserikali ni km 4. Mawasiliano 0711670661
 
Attachments

Yaani Dodoma kiwanja 72M???
 
Wanunua viwanja vya shule wanachukuaga maeneo akieenda sana 10M,maana hukumbilia maeneo ambayo hayajachangamka ili apate eneo kubwa.
 
Back
Top Bottom