G gjosem Member Joined Sep 23, 2017 Posts 10 Reaction score 5 Dec 24, 2018 #1 Kwa anaehitaji mbuzi na kondoo kwa ajili nyama hasa kwa walioko dar tuwasiiliane 0764565775
3 Angels message JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 5,589 Reaction score 16,336 Dec 24, 2018 #2 Tangazo halijakamilika mkuu maana hakuna bei, wapi upo, mzigo unamfikiaje mteja nk hebu weka hayo tafadhali
Tangazo halijakamilika mkuu maana hakuna bei, wapi upo, mzigo unamfikiaje mteja nk hebu weka hayo tafadhali
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Dec 24, 2018 #3 Sijaona mabeberu!
G gjosem Member Joined Sep 23, 2017 Posts 10 Reaction score 5 Dec 24, 2018 Thread starter #4 Bei kuanzia 100000-250000 ila pia kunamzungumzo na wanapatikana Kiluvya ila baada ya maelewano unaweza kusogezewa hadi Ubungo
Bei kuanzia 100000-250000 ila pia kunamzungumzo na wanapatikana Kiluvya ila baada ya maelewano unaweza kusogezewa hadi Ubungo
G gjosem Member Joined Sep 23, 2017 Posts 10 Reaction score 5 Dec 24, 2018 Thread starter #5 3 Angels message said: Tangazo halijakamilika mkuu maana hakuna bei, wapi upo, mzigo unamfikiaje mteja nk hebu weka hayo tafadhali Click to expand... Viatu vya Samaki said: Sijaona mabeberu! Click to expand... Yapo
3 Angels message said: Tangazo halijakamilika mkuu maana hakuna bei, wapi upo, mzigo unamfikiaje mteja nk hebu weka hayo tafadhali Click to expand... Viatu vya Samaki said: Sijaona mabeberu! Click to expand... Yapo
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,963 Reaction score 2,917 Dec 25, 2018 #6 Weka picha ya mbuzi wa 100000 hapa halafu tujadiliane bei
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Dec 25, 2018 #7 Mkulima hodari!