Nauza Kondoo na Mbuzi kwa ajili ya nyama

gjosem

Member
Joined
Sep 23, 2017
Posts
10
Reaction score
5
Kwa anaehitaji mbuzi na kondoo kwa ajili nyama hasa kwa walioko dar tuwasiiliane 0764565775
 
Tangazo halijakamilika mkuu maana hakuna bei, wapi upo, mzigo unamfikiaje mteja nk hebu weka hayo tafadhali
 
Bei kuanzia 100000-250000 ila pia kunamzungumzo na wanapatikana Kiluvya ila baada ya maelewano unaweza kusogezewa hadi Ubungo
 
Weka picha ya mbuzi wa 100000 hapa halafu tujadiliane bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…