Nauza korosho safi

Nauza korosho safi

Mimi ninazo zikiisha nitakwambia
IMG_2471.jpeg
 
Sajili business name, piga picha nzuri za sample , za korosho yako kulingana na grade , andaa business profile na uwezo wako WA kuuza ni kuanzia kilo ngapi, nenda jjsajili bodi ya mazao mchanganyiko wako pale ubungo plaza kwa nyuma, register biashara yako kwenye platform mbalimbali kama Globy(B2B) , export hub, African Food Changemaker, na platform nyingine ambapo huko sio lazima uwe na kampuni huko utapata wateja wanaohitaji mtu akipenda atakutumia quotation sasa wewe ndio utachuja Nani ufanye nae biashara , mambo yalisha badilika kitambo usikae kwa kukariri masoko ya ndani Tu , lakini uwe makini huko pia watu wanapigwa unaweza kutuma mzigo ukachelewa kufika ukakuta supplier mwingine ashapeleka, au mzigo unafika unaambiwa ubora sio hizo ni baadhi ya changamoto
 
Sajili business name, piga picha nzuri za sample , za korosho yako kulingana na grade , andaa business profile na uwezo wako WA kuuza ni kuanzia kilo ngapi, nenda jjsajili bodi ya mazao mchanganyiko wako pale ubungo plaza kwa nyuma, register biashara yako kwenye platform mbalimbali kama Globy(B2B) , export hub, African Food Changemaker, na platform nyingine ambapo huko sio lazima uwe na kampuni huko utapata wateja wanaohitaji mtu akipenda atakutumia quotation sasa wewe ndio utachuja Nani ufanye nae biashara , mambo yakaisha adilika kitambo usikae kwa kukariri masoko ya ndani Tu , lakini uwe makini huko pia watu wanapigwa unaweza kutuma mzigo ukachelewa kufika ukakuta supplier mwingine ashapeleka, au mzigo unafika unaambiwa ubora sio hizo ni baadhi ya changamoto
Sasa mm Niko masasi mtwara na ubungo plaza wapi na wapi kaka.
 
Back
Top Bottom