Nauza kuku aina ya sasso wana umri wa miezi 6

Ina wezekana

Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
74
Reaction score
170
Heshima kwenu wakuu,

Nauza kwa pamoja kuku chotara mbegu ya sasso... Mitetea na majogoo. Wote wana miezi 6, Mitetea ndio wanaanza kutaga na Majogoo yanaanza kuwika., Wapo Goba-Kinzudi

Mitetea wapo 35, majogoo 20

Bei: mitetea 15000, jogoo 17000

NB.. NAUZA WOTE KWA PAMOJA NA SI MMOJA MMOJA

Mawasiliano: pm

Karibuni sana
1543589916845.jpeg
1543589946796.jpeg
1543589966350.jpeg
1543590033757.jpeg
1543590139729.jpeg
 
Heshima kwenu wakuu,

Nauza kwa pamoja kuku chotara mbegu ya sasso... Mitetea na majogoo. Wote wana miezi 6, Mitetea ndio wanaanza kutaga na Majogoo yanaanza kuwika., Wapo Goba-Kinzudi

Mitetea wapo 35, majogoo 20

Bei: mitetea 15000, jogoo 17000

NB.. NAUZA WOTE KWA PAMOJA NA SI MMOJA MMOJA

Mawasiliano: 0686 595836

Karibuni sana
View attachment 951632View attachment 951633View attachment 951634View attachment 951637View attachment 951641
Mkuu Mbona wanaonekana afya mgogoro wakati kuku wa miezi 6anatakiwa awe na mnofu? Au wa mayai?
 
Heshima kwenu wakuu,

Nauza kwa pamoja kuku chotara mbegu ya sasso... Mitetea na majogoo. Wote wana miezi 6, Mitetea ndio wanaanza kutaga na Majogoo yanaanza kuwika., Wapo Goba-Kinzudi

Mitetea wapo 35, majogoo 20

Bei: mitetea 15000, jogoo 17000

NB.. NAUZA WOTE KWA PAMOJA NA SI MMOJA MMOJA

Mawasiliano: 0686 595836

Karibuni sana
View attachment 951632View attachment 951633View attachment 951634View attachment 951637View attachment 951641
Isije kuwa Mangi kakuachia banda umwangalizie kipindi hiki yuko Moshi kuhesabiwa wewe ukaamua kuuza banda zima
 
Heshima kwenu wakuu,

Nauza kwa pamoja kuku chotara mbegu ya sasso... Mitetea na majogoo. Wote wana miezi 6, Mitetea ndio wanaanza kutaga na Majogoo yanaanza kuwika., Wapo Goba-Kinzudi

Mitetea wapo 35, majogoo 20

Bei: mitetea 15000, jogoo 17000

NB.. NAUZA WOTE KWA PAMOJA NA SI MMOJA MMOJA

Mawasiliano: 0686 595836

Karibuni sana
View attachment 951632View attachment 951633View attachment 951634View attachment 951637View attachment 951641
Hapo hakuna sasso.Sasso ana kilo 4
 
Back
Top Bottom