Ina wezekana
Member
- Sep 2, 2017
- 74
- 170
Mkuu Mbona wanaonekana afya mgogoro wakati kuku wa miezi 6anatakiwa awe na mnofu? Au wa mayai?Heshima kwenu wakuu,
Nauza kwa pamoja kuku chotara mbegu ya sasso... Mitetea na majogoo. Wote wana miezi 6, Mitetea ndio wanaanza kutaga na Majogoo yanaanza kuwika., Wapo Goba-Kinzudi
Mitetea wapo 35, majogoo 20
Bei: mitetea 15000, jogoo 17000
NB.. NAUZA WOTE KWA PAMOJA NA SI MMOJA MMOJA
Mawasiliano: 0686 595836
Karibuni sana
View attachment 951632View attachment 951633View attachment 951634View attachment 951637View attachment 951641
Hii mbegu gani hii mkuu??Tubadilishane .nikupe majogoo 10 unipe matetea kumiView attachment 971266
Isije kuwa Mangi kakuachia banda umwangalizie kipindi hiki yuko Moshi kuhesabiwa wewe ukaamua kuuza banda zimaHeshima kwenu wakuu,
Nauza kwa pamoja kuku chotara mbegu ya sasso... Mitetea na majogoo. Wote wana miezi 6, Mitetea ndio wanaanza kutaga na Majogoo yanaanza kuwika., Wapo Goba-Kinzudi
Mitetea wapo 35, majogoo 20
Bei: mitetea 15000, jogoo 17000
NB.. NAUZA WOTE KWA PAMOJA NA SI MMOJA MMOJA
Mawasiliano: 0686 595836
Karibuni sana
View attachment 951632View attachment 951633View attachment 951634View attachment 951637View attachment 951641
18,000 jumlash. ngap jogoo
Hapo hakuna sasso.Sasso ana kilo 4Heshima kwenu wakuu,