Nauza Kuku chotara, ni Tetea kwa bei ya TSh 10,000 wapo 145

Hivi watanzania huwa hamsomi maelezo? Kasema alipo, mtu anamuuliza uko wapi? Dah unajua hata unachotaka kwake kweli? Namba ipo, ipigie. Naona hata wafanyabiashara, huwa wanalalamika mtu anaweka namba kwa maandishi makubwa sana, ila anaulizwa namba iko wapi!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…