Nauza kuku wa kienyeji jumla na rejareja

Nauza kuku wa kienyeji jumla na rejareja

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
8,355
Reaction score
20,792
Wakuu kama heading inavyojieleza ninakuku wa asili wa kienyeji wanafaa kwa biashara na kula ni wawastani hadi wakubwa kabisa.Wazuri na wenye afya kabisa

bei ya jumla ni maelewano

Rejareja wanaanzia 16000 tsh.
Mwenye uitaji anitafute kwa no. 0626 646536. Dar es salaam.
 
Wakuu kama heading inavyojieleza ninakuku wa asili wa kienyeji wanafaa kwa biashara na kula ni wawastani hadi wakubwa kabisa.Wazuri na wenye afya kabisa

bei ya jumla ni maelewano

Rejareja wanaanzia 16000..hadi 19000.
Mwenye uitaji anitafute kwa no. 0626 646536. Dar es salaam.
Mkuu weka picha
 
Hao kuku wana kilo ngapi. mpaka unauza hiyo bei?
 
Kuku bado wapo wa kutosha wale wanaochukua kwa jumla karibuni mzigo, watu wa catering services, hotel, bar na wauzaji wa rejareja karibuni..

Weka order sasa tukuletee popote ulipo (kuanzia kuku 25..free delivery) Mawasiliano. 0626646536
 
punguza bei ,,, watu wamezoea kula kuku wasiokuwa na mama na baba
 
Back
Top Bottom