Mkuu weka pichaWakuu kama heading inavyojieleza ninakuku wa asili wa kienyeji wanafaa kwa biashara na kula ni wawastani hadi wakubwa kabisa.Wazuri na wenye afya kabisa
bei ya jumla ni maelewano
Rejareja wanaanzia 16000..hadi 19000.
Mwenye uitaji anitafute kwa no. 0626 646536. Dar es salaam.
Kuku ni wakubwa na wananyama za kutosha
inategemea na utavyoipika ukitaka iwe ngumu itakuwa ukitaka iwe laini pia ni wewe tu na mapishi yako mkuu.
Ukubwa unaupimaje mkuu?Kuku ni wakubwa na wananyama za kutosha