Nauza kuku wa kienyeji kwa bei nzuri kabsa 14000 napatikana Dodoma

Asante kaka natamani ningepata mteja kabsa ingekua unyama
Arusha watu wanakula sana kuku wa Kienyeji iwe Jogoo au mate tea na huko mnadani kuku wapo juu kidogo kama una kuku wazuri hapo ndio soko lilipo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…