- Thread starter
- #21
Wangap unahitaj tufanye namna na uko wap?Mikoani unatuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangap unahitaj tufanye namna na uko wap?Mikoani unatuma?
Makini kaka🙏🙏🙏Kila la heri mkuu, post na huko mjini facebook kwenye groups za biashara za dodoma.
Kama ukihitaji tunawasiliana ni vipi na uko wap wanakufikia boss karibu sanaAisee bei ndogo sana. Hongera. Jitahidi kuanza kusafirisha nje ya Dodoma.
Niletee hao kuku hapa dar niwatafune mmoja baada ya mwingineNiungishe ndugu nipe na connection yakuuza zaidi
WangapiNiletee hao kuku hapa dar niwatafune mmoja baada ya mwingine
10Wangapi
Lini tutume boss
Uko wapi bossSamahani mtoa mada hao kuku ndio unafanya free delivery, nikinunua unawaelekeza wanakuja wenyewe?