We marire tuheshimiane. Lambda Kama umewrweseka mwenyewe ukipiga simu. Acha kuharibia watu biashara. Kama kware unahitaji au mayai sema acha longo longo
Hawa ni the same na Kanga huwezi wabeba kwenye basi na ukifika kituo cha ukaguzi ni kuomba mungu usionekane. Huawezi wafanya katika kiwango kikubwa na kuna tatizo kubwa sana kwa hawa Kware na hii inatokana na kilichop tokea Kenya.