Nauza laini za uwakala za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

Nauza laini za uwakala za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

Bei na zinaweza kuwa na majina yangu

Kuhusu majina,utaprocess katika ofisi husika kwa mkoa utakapo kuwepo mkuu,ila hata ukitaka kutumia zikiwa na majina tofauti hazina madhara maadamu particularla zote nitakupa.Bei ni laki 3 kwa kila moja mkuu
 
iyo ya mpesa ni standalone?? if not nitakua chini ya wakala mkuu wa wapi....mtaje!!!
 
Kuhusu majina,utaprocess katika ofisi husika kwa mkoa utakapo kuwepo mkuu,ila hata ukitaka kutumia zikiwa na majina tofauti hazina madhara maadamu particularla zote nitakupa.Bei ni laki 3 kwa kila moja mkuu[/
QUOTE]

hiyo bei mmmmh

nikichukua ya mpesa
unanipa zote mbili ya kazi na master line? au???
 
Zimebaki mbili wakuu,ya tigo pesa na ya airtel money,kama kuna anayehitaji ani pm
 
#2
Anaeitaj laini ya wakala Tigopesa M-pesa Airtelmoney Halopesa Ezypesa nipigie kwa namba hii 0659202222 Pia Special number nauza ninazo nyingi 2
 
Back
Top Bottom