Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
When screeen ikiwa on>left click kaalama ka tunda -kapokushoto juu > click option imeandikwa about this mac > itakultetea pc informationSawa mkuu ndo niko napekua apa [emoji855][emoji855]
Yaan hizi pc bana sjui ata izo specifications nazipata wapi
Nikizipata tu napiga picha natuma mkuu [emoji110]️[emoji1666][emoji1666]
Nishaweka picha na izo details wakuu so ambae yuko interested anipm namba
UNASEMA HAIPUNGUI LAKI SABA NA NUSU! ALAFU UNASEMA MTU ANAWEZA KUIUZA HATA MILIONI 1.5 NA ZAIDI .hii laptop nimeachiwa na boss akati anarudi kwao china ni PC nzuri sana
Naiuza 750k haipungui naamini kama unajuana na watu wengi hasa wenye uwezo unaweza kwenda kuiuza hata 1.5m+
pia kama kuna mtu anaweza kunipa connection za sehem ambazo naweza kwenda kuiuza nitashukuru kwani hii bei ni ndogo sana maana nikiangalia risit zake walinunua 4.5mView attachment 976902View attachment 976903View attachment 976904View attachment 976905View attachment 976906
Aisee imesimama sana, sema piga hio picha ya mwisho vizuri hayo maandishi yasomeke kwenye about mac! Hiko kijidude cheupe hapo katikati ya screen hakisomeki freshi