INAUZWA Nauza laptop bora za watoto

INAUZWA Nauza laptop bora za watoto

IMG_2720.jpg
 
Hujambo, na karibu ununue hizi laptop zenye ubora na sifa za kipekee kwa ajili yako na mtoto wako.
Laptop ina sifa zifuatazo:
-Ina RAM 2GB
-Storage yake ni 16GB
-Inatumia Window 10pro
-Ni touch screen na unaweza kuchomoa monitor ukatumia kama tablet.
-Ina notes ya masomo yote kuanzia nursery hadi form four ambazo ni za kisasa.
-Ina web camera HD front and back na inarecord video kwa ubora mzuri.
-Pia ina cartoon nzuri zaidi ya 20 za kujifunzia kwa watoto wa nursery mpaka Standard 7.

INAPATIKANA KWETU KWA BEI PUNGUZO 180,000TZS, BADALA YA BEI YA AWALI 250,000TZS.
WASILIANA NAMI KWA MAELEZO ZAIDI. KARIBUNI WOTE.
 
Storage ya GB16 mkuu are you serious hiyo si computer za miaka ya 1991 huko?
 
Hizi zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya kusaidia wanafunzi mkuu, ila kama mtu hauna mambo mengi waweza kutumia pia.
 
Back
Top Bottom