Computer4Sale Nauza Laptop Dell

Computer4Sale Nauza Laptop Dell

Mama Nehemiah

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2018
Posts
244
Reaction score
439
Habari.
Nauza Laptop dell ;
Hii laptop haijui mkono wa fundi na muda wote nimeitumia peke yangu kwa kifupi imetuzwa.Naiuza sababu nimepata dharura nahitaji pesa ya haraka.

-Processor Intel( R)I 3-2365cpu 1.40Ghz
-Ram 4 Gb
-64 bit
Tsh 350,000
Mawasiliano 0767 121272

IMG_20210817_095818_6.jpg
IMG_20210817_095714_5.jpg
 
Kocha wako yuko busy kutumia pesa kama hana akili wewe uko hapa na ubahili wako unasumbua watu
Hahaaa tunatafuta striker ,ili tukikaa pale juu ,basi hadi may EPL imeshatua etihad ,kwa sasa wacha hao wengine wapeane zamu kukaa top of the table
 
Hahaaa tunatafuta striker ,ili tukikaa pale juu ,basi hadi may EPL imeshatua etihad ,kwa sasa wacha hao wengine wapeane zamu kukaa top of the table
Ila Grealish kama vile hajajua kuendana na beat. Kwa Kane itakuaje?

Mchukueni Vardy
 
Ila Grealish kama vile hajajua kuendana na beat. Kwa Kane itakuaje?

Mchukueni Vardy
Grealish tumpe muda kwanza ,kane tunapeleka offer nyingine ,ile ya kwanza spurs wamekataa
 
Back
Top Bottom