Computer4Sale Nauza laptop kwa lengo la kujipatia mtaji

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Habari zenu

Natarajia kupata mkopo wa 2.5m so nasubiria , nimesimama kuuza laptop kwa kutegemea huo mkopo, M/Mungu awaongoze wakopeshaji wanipe pesa hiyo kwa mkopo AMEEEN πŸ™πŸΎ

Asanteni sana
 
Kuna siku nilikuwa nimekoma kifedha nikauza smarti yangu lak 2 nikapata hasara ya laki nne.simu niliinunua dukan lak 6 tangu siku hiyo nilijifunza kutokuuza kitu.Maana vifaa ya elektronik ukiuza n hasara tele hamna faida.
Ni kweli kabsa, ila kuna mda unakuwa hauna budi Mkuu, inakubidi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…