Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Picha ya mtandaoni tena badala ya kuweka picha halisi ,you can't be serious!!!Habari kwa wale graphics designer na wapenda game
Nauza laptop yangu haina ya lenovo idealpad 3 slim
Computer bado mpya kabisa na inakaa na chaji kwa masaa matano
Specification
Lenovo Ideal pad 3 (nyembamba)
touch screen
Core i5 10generation
HDD 250GB
RAM 8GB
Speed 2.6GHZ
Bei 850,000
Nilinunua 1,200,000
piga 0763411866
View attachment 3125166
Ipi bora kati ya ssd na hddIchunguze vyema sidhani kama ina HDD itakuwa na SSD.
HDD ndo new model za sasa baada ya ssdIpi bora kati ya ssd na hdd
Ssd ina kasi zaidi, ndio storage mpya za computers.Ipi bora kati ya ssd na hdd
Kwanini unamuongopea mwenzako mkuu?HDD ndo new model za sasa baada ya ssd
Nimeiona ni pc ya kisasa ningeshangaa kuwa na hdd.yah mkuu ni SSD
Aisee uko serious kabisaHDD ndo new model za sasa baada ya ssd