Nauza Laptop yangu mwenyewe haina kipengele

Nauza Laptop yangu mwenyewe haina kipengele

Delacruzito

Senior Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
123
Reaction score
141
Wakuu nauza laptop aina ya Hp Pro Book, Yenye Ram 8GB, Hdd 500gb. Battery 4hrs. Haina kipengele chochote sema tu nauza kwasababu nina shida ya haraka. Napatikana -Banana-Dar Es Salaam Mawasiliano yangu ni 0628116693

Price 380,000
 
Attachments

  • 20250207_174909.jpg
    20250207_174909.jpg
    514.7 KB · Views: 5
  • 20250207_174931.jpg
    20250207_174931.jpg
    469.7 KB · Views: 4
  • 20250207_174942.jpg
    20250207_174942.jpg
    579.3 KB · Views: 4
  • 20250207_174909.jpg
    20250207_174909.jpg
    514.7 KB · Views: 4
  • 20250207_174856.jpg
    20250207_174856.jpg
    629.6 KB · Views: 6
  • 20250207_174847.jpg
    20250207_174847.jpg
    418.8 KB · Views: 4
200k ipo njoo udsm Kuna kijana wangu hapo ataichukua. Core I ngapi,imetengenezwa mwaka Gani, unayo receipt kweli,
Naweza nikaongeza 20k ya nauli Kama ikiwa na vigezo vinavyotaka kwenye maswali niliyokuulizia hapo juu
 
Hii ni Pentium Generation 7. Inabeba windows zote latest hadi na zinazokuja. Kuhusu receipt nisikudanganye sikumbuki nishaptezaga ila nikija nayo ntakuthibitishia kama ni yangu mwenyewe kwasababu Data zangu zilizopo kwenye PC ndo zipo kwenye Simu yangu pia.
 
Wakuu nauza laptop aina ya Hp Pro Book, Yenye Ram 8GB, Hdd 500gb. Battery 4hrs. Haina kipengele chochote sema tu nauza kwasababu nina shida ya haraka. Napatikana -Banana-Dar Es Salaam Mawasiliano yangu ni 0628116693

Price 380,000
Processor
Gen
 
Back
Top Bottom