The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
mkuu hebu tufahamishe tofauti hapa,nataka kuchukua home senema ila zinanichanganya.ipi poa hapo LED,LCD Au plasma?Aina za TV ni hizi hapa....
LCD
LED
Plasma
CRT - kazamani (bunduki nyuma)
Hivyo unaponunua hakikisha huambiwi ni aina fulani, ukauziwa aina tofauti kwa kutojua. Kama kuna Mwenye utata juu ya kuzitofautisha aseme tutoe somo kwa faida ya wote....
Nauza 42'' LG LCD TV brand new just imported from UK price Tsh 2M
Pia kuna 32'' SAMSUNG LCD brand new just imported from UK price Tsh 1.5M
Please contact me through pm if ur interested,prices are negotiable,thank you.
Lcd's tv ziko kibao siku hizi hapa mjini na bei ni reasonable