Nauza LCD TVs......

Nauza LCD TVs......

Lcd's tv ziko kibao siku hizi hapa mjini na bei ni reasonable
 
Aina za TV ni hizi hapa....
LCD
LED
Plasma
CRT - kazamani (bunduki nyuma)
Hivyo unaponunua hakikisha huambiwi ni aina fulani, ukauziwa aina tofauti kwa kutojua. Kama kuna Mwenye utata juu ya kuzitofautisha aseme tutoe somo kwa faida ya wote....
mkuu hebu tufahamishe tofauti hapa,nataka kuchukua home senema ila zinanichanganya.ipi poa hapo LED,LCD Au plasma?
 
Naona mnalalamika sana.......nimepunguza bei............42'' nauza 1.5M na 32'' nauza 1.1M bei kama za mlimani city lkn quality ya UK.....sio za mchina hizi,made in EU.
 
Nauza 42'' LG LCD TV brand new just imported from UK price Tsh 2M
Pia kuna 32'' SAMSUNG LCD brand new just imported from UK price Tsh 1.5M
Please contact me through pm if ur interested,prices are negotiable,thank you.

Nikopeshe
 
Lcd's tv ziko kibao siku hizi hapa mjini na bei ni reasonable

Unayo?? au ziko kibao madukani maana sikuelewi...Hapa umeambiwa bizinesi , we unasema ziko kibao kwani nani asiyejua ziko kibao??? Acha hizo weka bet yako barazani!!!!!

Mbona mimi nimemuambia jamaa anikopeshe na kani PM freshi.
 
Back
Top Bottom