Bei yako tafadhali..
Ukishapata unikumbuke kwenye ulimwengu wa ajira
Haha..we mwanamke!!! Siku hizi his tigo/m pesa nasikia hazina pesa..sijui ni kweli..!
Haha..we mwanamke!!! Siku hizi his tigo/m pesa nasikia hazina pesa..sijui ni kweli..!
Nimeuziwa na dogo mmoja WA hapa hapa jei efu
duuuuuh ni shidaaaa.haya Anza kazi dadaaa.
Wapi napata ttcl-pesa?