Nauza line ya tigopesa 380 mpesa 200 nimezitumia kwa mwezi mmoja! 0658825141

Nauza line ya tigopesa 380 mpesa 200 nimezitumia kwa mwezi mmoja! 0658825141

Guys nashukuru nimeshaziuza!
 
Ipo ya tigopesa ninayo mimi nauza kwa 300,000 nimeitumia kwa mwezi mmoja na nusu tu no 0657809282 nipo dsm[/QUOTE acheni utapeli line zinapatikana makao makuu ya tigo...ukinunua za mtaani tatizo likitokea utafanya nn wakati imeandikishwa kwa jina lingne,,,,...Tafakari chukua hatua
 
Tatizo hapo makao makuu hawaziuzi. Wafikiri watu wapenda kununua za mtaani? Ama hawapajui hapo makao makuu?
 
Nauza laini ya uwakala wa tigopesa bei tsh laki 3 ina miezi miwili haina tatizo lolote nicheki no 0657809282
 
Ili ninunue hizo laini niuzieni na fremu au eneo lakufanya hiyo biashara ya tigo pesa na mpesa iwe sehemu inayoeleweka na yenye biashara
 
Kama bado unaitaji tuwasiliane ila haipungui laki nne bado haijatumika....na utapata package ya vitu vyote vitabu,na mabango yake na miavuli.
 
Kama kuna mtu bado anaziiihitaji zipo nyingi
Tigo pesa 400,000
Mpesa 250,000
Airtel money 150,000
Ni pm tuwasiliane nipo mwenge Dsm
 
Kwa anayetaka ninazo line zote tatu tigopesa, mpesa na airtel money kwa mawasiliano ni 0752562720
 
Back
Top Bottom