Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Ipo ya tigopesa ninayo mimi nauza kwa 300,000 nimeitumia kwa mwezi mmoja na nusu tu no 0657809282 nipo dsm
Ipo ya tigopesa ninayo mimi nauza kwa 300,000 nimeitumia kwa mwezi mmoja na nusu tu no 0657809282 nipo dsm[/QUOTE acheni utapeli line zinapatikana makao makuu ya tigo...ukinunua za mtaani tatizo likitokea utafanya nn wakati imeandikishwa kwa jina lingne,,,,...Tafakari chukua hatua

Tatizo hapo makao makuu hawaziuzi. Wafikiri watu wapenda kununua za mtaani? Ama hawapajui hapo makao makuu?
wanatoa we umeenda wakakukatalia,....uwe na mtaji zaidi ya laki tano unakabidhiwa laini yakoTatizo hapo makao makuu hawaziuzi. Wafikiri watu wapenda kununua za mtaani? Ama hawapajui hapo makao makuu?