Nauza mabanda ya kuku makubwa sana

Nauza mabanda ya kuku makubwa sana

yuzoswix

Member
Joined
Oct 9, 2024
Posts
8
Reaction score
4
Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa sehemu yote mawasiliano 0699361038
cf94913f-695b-42b8-9260-79684d7c6765.jpeg
d6605c0f-8f6a-42cd-8be4-0a121f26ecf9.jpeg
 
Unashindwa kutambua ukubwa wa kiwanja au wewe dalali? Maana kiwanja hapo ndio muhimu, hayo mabanda wala siyo ishu sana. Weka size ya kiwanja
 
Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa sehemu yote mawasiliano 0699361038View attachment 3149905View attachment 3149906
Kati ya parameters muhimu sana za kuamua kununua eneo ni location na size ya eneo husika. What's its size? Au hujui hilo?
 
Ahsante boss nilipitiwa kidogo haya mabanda yana ukuta mita16 urefu na mita 14 upana alafu kiwanja kilichobak kina mita14 kwa 14 karibuni
 
Unashindwa kutambua ukubwa wa kiwanja au wewe dalali? Maana kiwanja hapo ndio muhimu, hayo mabanda wala siyo ishu sana. Weka size ya kiwanja
Samahani boss nilisahau ni kweli hapo nimekosea hayo mabanda urefu yana mita 16 na upana 14 hapo ni eneo la mabanda alafu kiwanja cha pembeni ni mita 14 kwa 14 karibu boss
 
Ahsante boss nilipitiwa kidogo haya mabanda yana ukuta mita16 urefu na mita 14 upana alafu kiwanja kilichobak kina mita14 kwa 14 karibuni
That means ukubwa wa eneo lote ni (16x14) + (14x14) = 420 sqm? Confirm.
 
Back
Top Bottom