Computer4Sale Nauza Macbook Pro touchbar inch 13

Computer4Sale Nauza Macbook Pro touchbar inch 13

Serial Number ni Siri ya chombo chenyewe, ni siwa na mtu akuombe ime ya simu yako. Hupaswi kuitowa kwa ajiri ya usalama wa chombo chako.

Nadhani unaweza kuniuliza chochote unachotaka kukifahamu zaidi.
Sawa. Weka detailed specs
 
Picha hizo hapo nadhani maandishi yanasomeka vizuri
 
Attachments

  • IMG_20230511_174116_878~2_transcpr.jpg
    IMG_20230511_174116_878~2_transcpr.jpg
    843.9 KB · Views: 25
  • IMG_20230511_174250_809_transcpr.jpg
    IMG_20230511_174250_809_transcpr.jpg
    466.8 KB · Views: 19
  • IMG_20230511_174305_459_transcpr.jpg
    IMG_20230511_174305_459_transcpr.jpg
    503.5 KB · Views: 26
Mkuu, unaweza kuweka picha ya risiti? White out/futa info za siri lkn ionyeshe angalau tarehe, wapi imenunuliwa, model number na bei. Asante.
 
Mkuu, unaweza kuweka picha ya risiti? White out/futa info za siri lkn ionyeshe angalau tarehe, wapi imenunuliwa, model number na bei. Asante.
Uliomba model number nikakupa sasa hivi unahitaji tena receipt.

Nadhani haupo serious na biashara.
 
Uliomba model number nikakupa sasa hivi unahitaji tena receipt.

Nadhani haupo serious na biashara.

Wewe weka hizo detail, asiponunua yeye kuna watakaona hizo detail watanunua!
Unapouza second ama third hand item unapaswa kuweka detail zote zinazotakiwa public, ili mnunuzi aweze kufanya maamuzi kwa urahisi!
Wabongo wanafeli sana, hapa!
Mtu anaulizwa detail za kitu anachouza anakasirika ama anamuona anaeyeuliza si mnunuaji! Inakera…!
 
Nadhani kama upo serious model number inakujulisha kila kitu, kuanzia tarehe iliyotengenezwa.

Receipt haina haja. Na maelezo yote mengine nimeshaweka kwenye bandiko hili.

Hata picha za laptop condition inajieleza.

Receipt kwa mnunuzi tu ndiyo anaweza kuipata ili ajihakikishie mali aliyonunua ni salama.

Nadhani nimekujibu kibiashara zaidi.
 
Nimeomba uthibitisho wa hii kauli yako. Ni nadra Macbook ya 2020 uikute kwenye stock ya Apple Store Marekani mwaka 2022. Macbook ya 2020 inachukuliwa kama ni model ya zamani, na sana sana utauziwa ikiwa imetumika online.
Sawa ndugu, sipo hapa kubishana.
 
Acha makasiriko bishana kwa fact this is jf malomoni kupotezapoteza muda
Mkuu mimi silalamiki pia wala sina makasiliko, mteja mwenye nia huonekana mwingine anahitaji tu mbishane, nadhani wewe pia nimfanyabiashara mzuri na unaelewa changamoto zilivyo.

Wapo wateja wenye nia walionifuata WhatsApp wanaohitaji kununuwa waliomba model number nikawapa kabla sijapost hapa model number, wakaangalia na kujilidhisha, wengine serial number, wote pia walijiridhisha, wapo waliopenda kuanzia 2021, wengine wakapenda 2020 maana Ina cheap ya Intel hivyo kwa baadhi ya mambo yao makuu inawafaa ila offer zao zikawa ndogo.

Hivyo hapa JF kila mtu anapendeleo lake, mwingine anapenda mjibizani tu, lakini mwingine anakuwa mteja serious. Hivyo haihitaji kila mtu mjibizane.
 
Kumbe ushaishi marekani.

Ila Mzee utakuwa umepigika kishenzi.

Mkuu bongo ni bajeti kwa kwenda mbele usipende sana kwenda kula msosi pale mlimani city. Vuka njoo ule ng'ambo ya pili. Hii 2M unayoitaka haidumu ukispendia kweny malls.

Pale state 2Mil TSH ni 850 USD
 
Back
Top Bottom