Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
Wakuu wasalaam. Napatikana dsm jimbo la ukonga.
0714 521128
0714 521128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei, uwezo, imetumika kwa muda gani na ulinunua bei gan ili tupige depreciation rate, ikibidi na picha zake weka hapa
Ni mpya, ina uwezo wa kusafisha passport 8 ktk paper moja, pia ina uwezo wa kusafisha picha moja nzima, more information piga # iyo
sawa mzunguWaswahili sijui tutakuja jua biashara lini unauza kitu unauwezo wa kuandika info zote muhimu ili mtu akizipitia ka zimemkuna akicheki we unataka kupigiwa simu haya bana
weka bei kama unaona ishu Sanaa...Bora usepe na biashara yako hatuitaki!sawa mzungu