INAUZWA Nauza machine ya Ice Cream (Popsicle machine)

Rangoo14

Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
50
Reaction score
116
Habari wanazengo,

Ninauza machine ya ice cream ikiwa bado mpya (haijatumika sana ni miez 2), inauwezo wa kuzalisha ice cream elfu 6 kwa siku.

Utapata mould zake 2 na ukihitaji maji yake ya kugandishia yanayosaidia machine isipate kutu pia yapo.

Kwa mwenye uhitaji anicheck PM
Bei ni maelewano
N.B: Serious business

 
Bei gani kiongozi ,nahitaji hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…