Nauza mafuta ya Alizeti "Pure" Dumu 12 Mbezi - Magufuli

Nauza mafuta ya Alizeti "Pure" Dumu 12 Mbezi - Magufuli

Dark Water

New Member
Joined
Sep 24, 2026
Posts
2
Reaction score
2
Habari wakuu, nauza mafuta ya alizeti dumu 12 zipo mbezi magufuli na dumu moja ni shilingi 110,000/=

Mafuta haya ni halisi hayana kiambata ongeza chochote kile

Kwa mawasiliano zaidi
0664924023
 
Nauza mafuta ya alizeti mkuu ninazo dumu 12 za Litre 20 zipo Mbezi Louis kwa kila dumu ni 110,000/=
Kwahiyo Lita 20 = 110,000/=, Lita 1 = 5,500/= , dumu la Lita 5 = 27,500/= na unayemuuzia Lita 20 kwa 110,000/= bei ya jumla akafanye packaging mwenyewe, atauza kwa shilingi ngapi apate faida angalau!?..., Wewe ni mjasiriamali au umeachiwa mzigo upuyange nao!?,
N.B. Watu kama mimi usiwachukie, tunaku challenge kukuongezea ujuzi kwenye safari yako ya mafanikio. Hiyo bei yako sio jumla Iko juu sana huo mzigo utakaa nao sana.
 
Hayo mafuta ni yako ama ni mtu unamdai umekaamata mzigo wake ???

Hio bei sio ya jumla, kwa hio anayeenda kuuza nae auze bei gani ?

Huwa mnafanya analysis kabla ya kuja mitandaoni kuweka tangazo la biashara??

Hapo walau upate walaji..mtu ayeenda kuyatumia home na sio kwa biashara!!!

Walu ungeeleweka kwa 95k ama 100k maximum
 
Back
Top Bottom