Dark Water
New Member
- Sep 24, 2026
- 2
- 2
Nauza mafuta ya alizeti mkuu ninazo dumu 12 za Litre 20 zipo Mbezi Louis kwa kila dumu ni 110,000/=Mkuu, hujaeleweka
Kwahiyo Lita 20 = 110,000/=, Lita 1 = 5,500/= , dumu la Lita 5 = 27,500/= na unayemuuzia Lita 20 kwa 110,000/= bei ya jumla akafanye packaging mwenyewe, atauza kwa shilingi ngapi apate faida angalau!?..., Wewe ni mjasiriamali au umeachiwa mzigo upuyange nao!?,Nauza mafuta ya alizeti mkuu ninazo dumu 12 za Litre 20 zipo Mbezi Louis kwa kila dumu ni 110,000/=