Car4Sale Nauza magari used

Car4Sale Nauza magari used

m-yala

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
65
Reaction score
93
Habari, naamini uko salama. Mimi ni agent natoa magari madogo na makubwa, container, loose cargo katika bandari ya Dar es Salaam.

Pia nauza magari used na chassis pamoja na container za 20 feet na 40 feet...kwa mawasiliano zaidi nichek +255764423726 wasap no.

Karibu Sana nikuhudumie.

IMG-20240719-WA0795.jpg
 
Back
Top Bottom