Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Wewe tena? πππSema nini, makodi yana kosti sana ila gari nyingi bei ni rahisi mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tena? πππSema nini, makodi yana kosti sana ila gari nyingi bei ni rahisi mno.
KwambaπβWewe tena? πππ
Umeanza kusingizia kodiKwambaπβ
Chawa wa mama mnaonaga mambo ni marahisi sana kwa kila mtu ,nasemaje hiyo gari kwa 30 sawa.Umeanza kusingizia kodi
45 bossChawa wa mama mnaonaga mambo ni marahisi sana kwa kila mtu ,nasemaje hiyo gari kwa 30 sawa.
Ngoja niache tu Lamomy kaniona mchovu ππ45 boss
Apambane na mpare wake ππNgoja niache tu Lamomy kaniona mchovu ππ
Mpare anatoa wap pesa sasaππππ watu wanakula mbegu za mahindi nao niwakuringiaππππ.Apambane na mpare wake ππ
Mkuu sina helmentMpare anatoa wap pesa sasaππππ watu wanakula mbegu za mahindi nao niwakuringiaππππ.
Dah πMpare anatoa wap pesa sasaππππ watu wanakula mbegu za mahindi nao niwakuringiaππππ.
Mr mbaga nyie ni watani zangu ninazo haki zote ma la buku nyie.Dah π
πππ ww machawa huwajui? Min sema pesa huna!!Chawa wa mama mnaonaga mambo ni marahisi sana kwa kila mtu ,nasemaje hiyo gari kwa 30 sawa.
ππππ umeponda sana tatizo minNgoja niache tu Lamomy kaniona mchovu ππ
Ninazo kiasi cha kunitosha tu ila machawa mnatamba mno kwa sasaπππππ ww machawa huwajui? Min sema pesa huna!!
ππππ mpare pesa ya kununua chuma hiko aitoe wapi??Apambane na mpare wake ππ
π€£π€£π€£π€£ Hii haina comebackMpare anatoa wap pesa sasaππππ watu wanakula mbegu za mahindi nao niwakuringiaππππ.
Gari nzuri sna ila hiyo pesa kipengeleπππππ umeponda sana tatizo min