Nauza Maharage: Nipo Arusha

Nauza Maharage: Nipo Arusha

Ntu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,001
Reaction score
650
Heshima Kwenu Wakuu

Nina maharage gunia 20, nipo hapa Arusha natafuta mnunuzi. Haya maharage niliyalima mwaka jana hapa hapa Arusha. Maharage yanaitwa "ngaraisee." Kama utahitaji au unajua anayehitaji tafadhali nipigie kupitia 0764-653-982

Shukrani
 
Mzee mazao yanauzwa kwa vipimo vya kisayansi, debe maana yake nini. Fafanua
 
Mzee mazao yanauzwa kwa vipimo vya kisayansi, debe maana yake nini. Fafanua
Gunia la Debe 6 Nauza Sh. 150,000/=. Na Kwa kilo nauza sh. 1,500. Karibu sana Mkuu
 
Yapo Mianzini Mkuu. Pia nimeweka namba hapo juu, nipigie nikutumie kwenye whatsapp Mkuu. Thanks
Kwann na tangazo usingepeleka huko WhatsApp?!

Unahofu gani kupost hapa hayo maharage tukajionea sampuli yake??
 
Back
Top Bottom