Nauza Maktaba na movie zake kwa Tsh. 380,000/-

Nauza Maktaba na movie zake kwa Tsh. 380,000/-

Hehe heee

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
210
Reaction score
186
Sasa nisisikie mtu analalamika nina sijui laki NNE, sijui laki tatu nifanye biashara gani hii nakupa tu. Ukifeli wewe utakuja tumia zaidi ya Millioni


Offer Offer Offer Offer

*Hii ofa ya mwisho sasa ni bora liende cha msingi pepo Library nzima na vitu vyake vyote nakuuzia kwa 380,000/= hadi pango mwezi mmoja nimekuachia.*

380,000/= tu

Leta nikapunguze machungu bar.

Piga, text humo now 07163214100

ikifika SAA 9 nampa mshkaji wangu, now nazima simu nikiwasha nione SMS kama unaitaji kama sijaona nampa mshkaji iwe bahati kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duu! ukisikia post za kibabe ndio kama hizi!
libarary ina nini. ndugu BICHWA BURE!
*ni library ya vitabu au muvi?
*huoni ingefaa basi kutaja hata baadhi ya vitu vikammvutia mhitaji; kama ni kompyuta, vitabu, meza, viti, chaga nk na ikibidi wapi ilipo na mawasiliano?

bandiko lako linaacha maswali mengi na kutia shaka hata kabla mteja hajaamua. hatahivyo, nakutakia biashara njema!
 
Sasa nisisikie mtu analalamika nina sijui laki NNE, sijui laki tatu nifanye biashara gani hii nakupa tu. Ukifeli wewe utakuja tumia zaidi ya Millioni


Offer Offer Offer Offer

*Hii ofa ya mwisho sasa ni bora liende cha msingi pepo Library nzima na vitu vyake vyote nakuuzia kwa 380,000/= hadi pango mwezi mmoja nimekuachia.*

380,000/= tu

Leta nikapunguze machungu bar.

Piga, text humo now 0716321462

ikifika SAA 9 nampa mshkaji wangu, now nazima simu nikiwasha nione SMS kama unaitaji kama sijaona nampa mshkaji iwe bahati kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Location
2. Library ya nini?
3. Ina nini na nini?
4. Tuliza akili andika upya tangazo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vyote sikupigii mahesabu leta 400,000/= tu nakuachia.

Hiyo ndio Library ukipata sehemu unapata mapaka 150,000/= kwasiku nauza kwasababu misina muda na usimamizi mbovu ndio maana nasema offa, ukija kuanzisha yako inakutoka Million kawaida.
IMG-20190129-WA0147.jpeg
View attachment 1007869
IMG-20190129-WA0146.jpeg
IMG-20190129-WA0145.jpeg
IMG-20190128-WA0165.jpeg
IMG-20190128-WA0161.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipo online muda wote simu yangu mbovu ndio maana nauza kwa offa nirpuke usumbufu wakuweka chaji kila mala, serious buyer naweza kumpa mshkaji hata kwa 150,000/= nikiona usumbufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nisisikie mtu analalamika nina sijui laki NNE, sijui laki tatu nifanye biashara gani hii nakupa tu. Ukifeli wewe utakuja tumia zaidi ya Millioni


Offer Offer Offer Offer

*Hii ofa ya mwisho sasa ni bora liende cha msingi pepo Library nzima na vitu vyake vyote nakuuzia kwa 380,000/= hadi pango mwezi mmoja nimekuachia.*

380,000/= tu

Leta nikapunguze machungu bar.

Piga, text humo now 0716321462

ikifika SAA 9 nampa mshkaji wangu, now nazima simu nikiwasha nione SMS kama unaitaji kama sijaona nampa mshkaji iwe bahati kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mshikaji wako nae anasubiri hio saa 9 ili umpe! kazi kweli kweli
 
Yaleyale ya SIMU yangu mbovu nitumie kwenye namba hii. Unaonywa!!! tahadhari kabla ya hatari.
 
Back
Top Bottom